Skip to product information
1 of 6

60W Travel Cable Kit β€” 6-in-1 Data Cable Set Organizer

60W Travel Cable Kit β€” 6-in-1 Data Cable Set Organizer

Regular price KSh399.00
Regular price KSh550.00 Sale price KSh399.00
Sale Sold out
Quantity

1000 in stock

πŸ”Œ 60W Travel Cable Kit β€” 6-in-1 Data Cable Set Organizer
One tiny kit for all your charging β€” chaji haraka, bila stress kwenye safari ✨

β€’ Vifaa tofauti (USB-C, iPhone, Micro) + kamba nyingi begani?Β Hii 6-in-1 hubeba vichwa vyote kwenye casing ndogo, kila kitu kikiwa organized & ready β€” ofisini, kwenye gari, au safarini.
β€’ Badilisha port sekunde chache, bila kubeba kebo nyingi.

Benefits | Faida kuu
β€’ ⚑ PD Fast Charge hadi 60W (USB-C ↔ USB-C) β€” inafaa phones/tablets/laptops za kisasa
β€’ πŸ” Multi-adapters ndani ya boksi (6-in-1):
β€’ USB-A ↔ USB-C (18W)
β€’ USB-C ↔ iPhone (20W)
β€’ USB-A ↔ iPhone (12W)
β€’ USB-A/USB-C ↔ Micro (18W)
β€’ 🧳 Pocket size β€” ~107Γ—32.5Γ—19 mm, ~38 g: bega/mfuko, bila uzito
β€’ 🧼 Tidy travel β€” hakuna tena kamba za waya; kila kitu kipo sehemu moja
β€’ πŸ› οΈ SIM ejector + slots β€” badilisha line njiani kwa urahisi
β€’ πŸ”Œ Short stable cable β€” fast charge + data sync bila kusumbua meza

Compatibility | Ulinganifu
β€’ USB-C / iPhone (Lightning) / Micro-USB devices: simu, tablets, earbuds, power banks, kamera ndogo, nk.
β€’ Tip: Kwa kasi ya juu, tumia charger inayounga PD/Quick Charge.

What’s included | Vilivyomo
β€’ Casing ndogo + kebo fupi + adapters zote 6 + SIM ejector + nafasi za kuhifadhi SIM.

View full details
loading